Aisee DSTV!

Rapa kutoka Marekani Young Thug, ametangaza kuwania urais wa Marekani ifikapo 2024, aeleza sababu hizi

Rapa kutoka Marekani Young Thug, ametangaza kuwania urais wa Marekani ifikapo 2024, aeleza sababu hizi

Rapa kutoka nchini Marekani Young Thug ametangaza kuwania urais wa Marekani ifikapo 2024 kwa madai anataka kumpiku rais wa sasa wa Taifa hilo Donald Trump.

Kupitia mtandao wake wa Twitter ameshea ujumbe huo huku akimtaja mshkaji wake wa karibu Gunna kuwa ndiye atakaye kuwa makamu wa rais baada ya yeye kushinda.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW