Burudani
Rapa Motra The Future amtangazia vita Jonijoo wa Wasafi TV ‘kaniibia Babaako, Diamond anajua nitamfanya mbaya’ (+video)
Rapper Motra The Future kutoka Arusha ametangaza vita mtangazaji wa Wasafi TV, Jonijoo kwa kile anachodai kuwa amechukua jina lake la ‘BABAAKO’ na kuanza kulitumia kwenye kazi zake bila kuomba.