Burudani

Rapa Wakazi afunguka baada ya kuchaguliwa kushiriki kwenye utengenezaji wa album ya Pan Africa (+video)

Rapper Wakazi amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa na Bodi ya Pan Africanism, kushiriki kwenye album ya muziki ya Pan Africa itakayoshirikisha wasanii wengine wakubwa kama Selif Keita, Mafikizolo, na wengineo.

Wakazi kupitia Bongo5, amesema kuwa alipigiwa simu kujulishwa taarifa hizo na tayari ameanza kurekodi baadhi ya nyimbo, Album hiyo itatoka siku ya Afrika May 25, 2019.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents