Habari

Rapper Busta Rhymes kutumbuiza Kenya hivi karibuni

Rapper, producer na muigizaji Busta Rhymes kutoka Marekani anategemewa kutua katika ardhi ya +254 Kenya mwezi September mwaka huu kwaajili ya kufanya onesho la muziki.

busta

Kwa mujibu wa Pulse hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Busta ambaye jina lake halisi ni Trevor Tahiem Smith, Jr kutumbuiza Nairobi Kenya, na atakuwa rapper mkubwa kutoka Marekani kufanya onesho nchini humo baada ya miaka mingi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents