Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Rapper Femi One amefunguka sababu za kuachia wimbo wake mpya ‘Mkali Wao’

Rapper wa kike kutoka Kenya mwenye michano ya hatari, Femi One amefunguka sababu za kuachia wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Mchizi Gaza, Mkali Wao.

Akiongea na Bongo5, msanii huyo amesema ameamua kuachia wimbo huo ili kuwapa vibe mashabiki wake na kuwaonyesha kuba hajauacha muziki wa Hip Hop.

“Nilitaka kuwapa mashabiki wangu wa hip hop kitu na vibe ya muziki wa zamani wa Hip Hop na kuwaambia kuwa sijaacha Hip Hop,” amesema Femi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW