Tupo Nawe

Rasmi Hassan Bumbuli msemaji mpya Yanga SC, hii ndiyo ilikuwa Exclusive yake ya kwanza kabla kutangazwa (+video)

Uongozi Yanga SC kupitia kwa Mwenyekiti wake Dkt. Mshindo Msolla umemtangaza rasmi mwanahabari Hassan Bumbuli kuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, huku Antonio Nugaz akitangazwa kuwa Afisa Mhamasishaji wa klabu hiyo.

Bumbuli anachukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Dismas Ten wakati Afisa Mhamasishaji ikiwa ni nafasi mpya klabuni hapo.

Yadaiwa huyu ndiye anaekwenda kuwa Msemaji mpya Yanga SC, Dismas Ten kuwekwa benchi

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW