Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Rasmi: Lady Jaydee apata lebo mpya kutoka Kenya

Hatimaye imethibitishwa kuwa malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amesaini makataba na kampuni mpya ya Taurus Musik ambayo itakuwa inasimamia kazi zake.

Jaydee amefanikiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Taurus Musik ya Nigeria ambayo inafanya kazi zake nchini Kenya. Moja ya vipengele vya mkataba huo vilivyoorodheshwa ni kuwa msanii huyo atatakiwa kuachia albamu mbili katika kipindi cha miaka hiyo mitatu.

Kampuni hiyo imethibitisha hilo kupitia mtandao wao wa Instagram ambapo pia imemtangaza kumsaini msanii mwengine wa Congo DRC ambaye anafanya kazi zake mjini Nairobi, Alicios Theluji. Huu ni ujumbe walioandika kampuni ya Taurus kupitia mtandao huo.

Taurus Musik, one of Africa’s Biggest and Most Successful record label and artist management company is proud to officially announce the signing of East Africa’s Most Successful Female Artiste, Lady JayDee, on a 3 Year, 2 Album recording deal

Lady Jaydee, the Ndi ndi ndi hit maker has been in the industry for over a decade and has gifted Africa with several hits through the years. She specializes in R&B/Zouk/Afro Pop genres. Lady Jaydee has overtime won been nominated in all most of the prestigious awards across Africa and is the most nominated female artist in Africa in all awards.

Tunde Daniel, Taurus Musik’s Vice-President For Music and Lifestyle has stated that the Label is excited to work with Lady Jaydee in the new phase of her career.
We on behalf of Lady Jaydee state our undaunted commitment to bring you the best of music as the two brands are known for.
We wish to thank our fans for the usual support for GOOD MUSIC

WELCOME TO THE TAURUS MUSIK FAMILY LADY JAYDEE

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW