Burudani

RASMI: Lil Wayne aiachia album yake ya ‘Tha Carter V’, baada ya vuta nikuvute na Cash Money

Baada ya kimya kirefu na mifarakano ya hapa na pale na menejimenti yake, hatimaye rapper Lil Wayne ameiachia album yake ya Tha Carter V.

Image result for Lil Wayne carter V

Lil Wayne ameiachia album hiyo alfajiri ya kuamkia leo Septemba 28, 2018 akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, Tha Carter V ina nyimbo 23 na imehusisha wasanii wengine kama Nicki Minaj, Travis Scott, Snoop Dogg, Ashanti Mack Maine,  XXXTENTACION na wengineo.

Tangu mwaka 2014, Lil Wayne na lebo yake ya Cash Money walikuwa kwenye mvutano namna ya kuachia album hiyo.

Unaweza ukasikiliza album yote hapa kwa kubofya link hii https://itunes.apple.com/us/album/tha-carter-v/1437591818?app=itunes

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents