Michezo
Ratiba ya klabu bingwa barani ulaya March 15
Michuano ya klabu bingwa barani ulaya inatarajia kuendelea tena leo March 15 kwa Michezo Miwili.
Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Psv Endovein, na Manchester city wao watakuwa nyumbani Etihad wakiwaalika Dianamo Kiev ya Ukrain.
Michuano hiyo itaendelea tena kesho Jumatano kwa mechi mbili, Barcelona watakuwa wenyeji wa Arsenal, na Bayern Mun wataikabili Juventus.
Fainali za Michuano hiyo zitahitimishwa tarehe 28 mwezi Mei 2016 uwanja wa San Siro Milan nchini Italy.