Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Ratiba ya raundi ya nne ya FA yatoka, wababe wa Arsenal wapangiwa mwengine

Ratiba ya kombe la FA katika hatua ya raundi ya nne imetoka baada ya kufanikiwa kuiona Arsenal ikitupwa nje ya michuano hiyo katika raundi ya tatu na timu kutoka daraja la kwanza, Nottingham Forest kwa mabao 4-2.

Timu hiyo ya Nottingham Forest imepangiwa kucheza na Hull City katika hatua hiyo. Mechi zote za hatua hiyo zinatarajiwa kuchezwa January 26-29 mwaka huu.

Hii ni ratiba ya mechi za hatua ya raundi ya nne ya kombe hilo.

Liverpool v West Brom

Peterborough v Fleetwood or Leicester

Huddersfield v Birmingham

Notts County v Wolves or Swansea

Yeovil v Manchester Utd

Carlisle or Sheffield Wednesday v Stevenage or Reading

Cardiff or Mansfield v Manchester City

MK Dons v Coventry

Millwall v Rochdale

Southampton v Watford

Middlesbrough v Brighton or Crystal Palace

Bournemouth or Wigan v Shrewsbury or West Ham

Hull City v Nottingham Forest

Newport v Tottenham

Norwich or Chelsea v Newcastle

Sheffield Utd v Preston

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW