Michezo
Ratiba ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
Droo ya Kupanga Mechi za Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya, imefanyika leo Ijumaa, Nchini Nyon, Switzerland ambayo ipo hapa.
Mechi ambayo inaonekana kuwa gumzo ni ile kati ya Barcelona dhidi ya Atletico Madrid zote za Hispania.
Ratiba ndo hii
PSG vs Manchester City
Barcelona vs Atletico Madrid
Bayern Munich vs Benfica
Wolfsburg vs Real Madrid