Promotion

Ratiba ya weekend hii Club 601, Mbezi Beach, itaonesha ufunguzi wa kombe la dunia na mechi zote

Kiota cha kijanja cha Club 601 zamani Top Garage kinakuletea ratiba za bata weekend hii.

10169219_10203526549864934_3021913161709293846_n

Alhamis ya June 12, ni world cup fever 2014 ambapo kupitia screen kubwa na HD projectors wataonesha ufunguzi wa kombe la dunia nchini Brazil ambapo Jennifer Lopez na Pitbul watatumbuiza. Mechi zote za kombe la dunia zitakuwa zikioneshwa pia hapo.

10177448_10203526548664904_2874774579586507388_n

Ijumaa kama kawaida ni usiku wa hits aka hits night. Jumamosi ni oldschool video mix. Jumapili ni makhsai weekend, free nyama choma happy hour ni kuanzia 12 – 1 usiku kila siku.

Burudani kali inatolewa na madj wakali mjini ambao ni pamoja na DJ Q, DJ Jors Bless, DJ R Guy, DJ K Jwan na DJ Swag. Karibu Club 601 maeneo ya Mbezi Beach.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents