Bongo Movie

Ray amaliza wiki mbili China kununua vifaa vya filamu

ray_na_mchina_face

Mwigizaji maarufu wa Movie nchini Vicent Kigosi ‘ray’ sasa hivi yupo nchini China kwaajili ya kununua vifaa vipya vya kurekodia filamu kwaajili ya kampuni yake ya R J Company. Mwigizaji huyo amesema ingawa alikuwa hajaaga mashabiki zake, lakini kuwahi ndipo kuliko mfanya ashindwe kuaga, hata hivyo amesema tayari ameshanunua mzigo mkubwa hivyo bado kuurudisha na kugonga filamu za kisasa.

 

Ray_na_mkongo

 

ray_na_mwanamke

Ray akiwa kwenye matanuzi baada ya maangaiko ya hapa na pale.

ray_vifaa

Ray akichagua baadhi ya kamera kwaajili ya kununua.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents