Burudani

Ray C apata mzungu Ulaya wa kutuliza moyo wake (Picha)

Msanii mkongwe wa muziki, Ray C ameamua kumuanika mpenzi wake mzungu kwa mashabiki wake.

Muimbaji huyo ambaye aliwahi kuwa mapenzini na rapa Lord Eyes miaka kadhaa iliyopita, kwa sasa yupo nchi za ulaya kwaajili ya shughuli zake binafsi.

Wiki hii kwa mara kwanza toka aachane na rapa huyo wa kundi la Weusi, Ray C amepost picha akiwa na mzungu huyo na kuonyesha kwa wanapendana.

Mashabiki wengi wameonekana kufurahishwa na kitendo cha Ray C kumwanika mpenzi wake huyo wa sasa huku wengine wakionekana kumtaka achague wa hapa hapa nchini. Angalia maoni ya mashabiki wa mrembo huyo.

kweliaisee
@polg32 unamtamani huyo mzungu? Hilooooo!!! Kiroho kinakuuma. Kwa hiyo harmonize nae anadanga? 😂😂

mateo_maria
Hongera sana tunampenda shemu wetu.

rhodamungula
@rayctanzania bora umejipatia mzungu mwaya wabongo pasua kichwa sana kilala kheri

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents