Burudani

Ray C atamani ‘ Diamond’ wengi zaidi katika Bongo Flava

Baada kupata taarifa kuwa Diamond Platinumz leo hii anamtambulisha msanii mpya ndani ya WCB, msanii Ray C amesema wakijitokeza wasanii wengi mfano wa Diamond Bongo Fleva itafika mbali.

Ray C

Kupitia mtandao wa instgram Ray C ameandika, ‘Wakitokea wasanii wakubwa kama wewe na wakawa na moyo kama wako basi muziki wetu utafika mbali sana…Kaa na huyu kijana japo nusu saa tu, utaelewa kwa nini ninasema haya!, kuna Roho, na kuna roho, jamaa ana roho ya peke yake maskini.

Nina mengi moyoni natamani niongee lakini haya yanatosha mdogo wangu, kumbuka mwenye hii dunia alishasema, mtoaji hupewa zaidi na zaidi…… Mungu akutangulie katika kila ufanyalo Inshallah.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents