Ray C ni Single?

Ray C ni Single?
Inasemekana kwamba mwandada Ray C amanika ujumbe katika mtandao unaosema kwamba ameachana na Lord Eyez, ingawa bado ni marafiki wa karibu

Ujumbe huo unaendelea kusema kwamba kwa sasa yuko bize ndani ya studio kupanga ujio wake amabao utakuwa si wa kitoto, na kwa sasa yupo single and happy.

Mwenye habari zaidi anakaribishwa kuchangia…

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents