Picha

Ray J amweka hadharani ‘Kim K’ wa kwenye video ya ‘I Hit It First’ kwenye 106 & Park ya BET

Wiki hii mwimbaji wa RnB ambaye pia ni kaka mwanadada Brandy Norwood, Ray J alikuwa mgeni katika TV show maarufu ya 106 & Park ya BET akiwa na company ya mrembo aliyeonekana katika video ya wimbo wake wenye utata “I hit it first”.

Luba at 106 & Park, May 22, 2013. (photo: John Ricard / BET)

Mrembo huyo aitwaye Luba mwenye muonekano kuanzia sura, urefu, smile kama ya ex girlfriend wa Ray J, Kim Kardashian aliongozana na Ray J kwa lengo la kutambulishwa kama mrembo aliyecheza kwenye video hiyo na pia Ray J aKielezea mambo mengi kuhusiana na single hiyo iliyomake headlines baada ya kutoka kutokana na kuwa controversial.

kim & Luna

Show ya 106 & Park inaongozwa na watangazaji wanne wakiwemo rapper Shad “Bow Wow” Moss, Jordan “Shorty da Prince” Johnson, na warembo Kimberly “Paigion” Walker na Mykel “Miss Mykie” Gray

ray 106-2

Tazama hapa clips za interview hiyo.

http://youtu.be/BQuo1KEfvOs

part 2
http://youtu.be/YTD-mh8-H0M

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents