Burudani ya Michezo Live

Ray Kigosi kuhusu mama Kanumba ” Ntamsaidia ila siwezi kutangaza kwa jamii, amebaki mpweke sana” – Video

Ray Kigosi kuhusu mama Kanumba " Ntamsaidia ila siwezi kutangaza kwa jamii, amebaki mpweke sana" - Video

Ray Kigosi azungumza kwa uchungu kuhusu aliyekuwa rafiki yake marehemu kwa sasa Steven Kanumba na kusema  “Namuombea sana kwa mungu ampumzishe mahale pema, ipo siku mungu atanichukua na ntakutana nae Inshaalla”

Mbali na kumzungumzia kuhusu kuendelea kumkumbuka rafiki yake Marehemu Steven Kanumba, Ray alizungumzia kuhusu upweke wa mama Kanumba na kusema kuwa ” Ntamsaidia ila siwezi kutangaza kwa jamii, amebaki mpweke sana”

Patrick asema anadeni kubwa sana kwa familia ya Kanumba.

Ben asema atamsaidia mama Kanumba labda mungu amchukue.

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW