Michezo
Ray Kigosi: Morrison anatuvuruga, auzwe tu (Video)
Msanii wa filamu Ray Kigosi ambaye pia ni shabiki wa @yangasc ameuzungumzia mgogoro wa Mchezaji wa #yangasc Bernard Morrison pamoja na uongozi wake ambao umeibuka hivi karibuni. Muigizaji huyo ameishauri klabu ya Yanga kumuuza mchezaji huyo kwani tayari ameonesha hana nidhamu kabisa.