Uncategorized

Rayvanny aachia video ya wimbo wake mpya wa ‘TETEMA’ aliyomshirikisha Diamond (+video)

Msanii wa muziki, Rayvanny ametoa video ya wimbo wake mpya ya ‘TETEMA’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz.

Wimbo wa ‘TETEMA’ unakuja baada ya wawili hao kuachia kibao chao cha Mwanza ambacho kilizua utata mkubwa na kufungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kufuatia kutokuwa na maudhui mazuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents