Burudani

Rayvanny afanya kolabo 5 na wasanii wakubwa Nigeria, afunguka ishu ya kumleta Mbosso WCB (+video)

Baada ya kurejea safari ya kutoka Nigeria, Rayvanny amefunguka kuwa alienda huko kufanya kolabo, ambapo amefanikiwa kuwapata wasanii zaidi ya watano akiwemo Rapa Phyno.

Kwa upande mwingine, Rayvanny amefunguka ishu ya kumleta Mbosso WCB, mbapo amedai kuwa alimshawishi Diamond amsaini msanii huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents