Tia Kitu. Pata Vituuz!

Rayvanny afanya mwendelezo wa TETEMA , aachia video ya remix yake akiwashirikisha Diamond, Patoranking na Zlatan – Video

Rayvanny afanya mwendelezo wa TETEMA remix, aachia video akiwashirikisha Diamond, Patoranking na Zlatan - Video

Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka katika lebal ya muziki ya WCB Rayvanny ameachia video ya wimbo wake wa Tetema akifanya Remix na Boss wake Diamond Platnumz pamoja na wasanii kutoka Nigeria Patoranking na Zlatan.

Ikumbukwe Rayvanny alisema kuwa anataka kuifanyia Tetema remix mbili na original yake inakuwa ya tatu kwani alipanga kufanya remix na wasanii kutoka Afrka ambayo tayari imetoka lakini pia remix nyingine na wasanii kutoka nje ya Afrika. Video hiyo ikifanywa na Cardoso Imeges.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW