Burudani

Rayvanny afichua siri sababu iliyokuwa inampelekea Diamond kutokutoa nyimbo “Hata akiba Sallam na Tale walikuwa wanamwambia”(+ Video)

Rayvanny afichua sababu iliyokuwa inampelekea Diamond kutokutoa nyimbo "Hata akiba Sallam na Tale walikuwa wanamwambia"(+ Video)

Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka lebo ya muziki ya WCB Ryavanny wakati wa tukio la kugawa mafuta bure kwa madereva Bajaj na Pikipiki amefunguka kupitia Bongo 5 na kueleza sababu iliyokuwa inampelekea boss wake Diamond kutokuta nyimbo.

Mbali na kueleza haya pia ameeleza kuwa ameamua kufanya remix ya wimbo wake wa Tetema na kuweka wazi kuwa remix hiyo itafanyika mara mbili yaani atafanya moja na wasanii wa Afrika na wengine nje ya Afrika.

Tukio zima la kugawa mafuta kwa madereva bajaji na madereva pikipiki:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents