Soka saa 24!

Rayvanny awa miongoni mwa wasanii ambao video za nyimbo zao, zimefikisha Views milioni 1 kwa masaa machache Tanzania

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka katika lebo ya WCB Rayvanny amefanikiwa kuungana na wasanii ambao nyimbo zao zimefikisha views milioni moja kwa masaa machache zaidi. hii ni baada ya video ya wimbo wake mpya wa ‘TETEMA’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz kutazamwa na watu milioni moja kwa masaa 17 tu.

Ikumbukwe baadhi ya wasanii kama Diamond na Alikiba washawahi kuweka rekodi hizo mfano Alikiba katika wimbo wake wa Seduce me ilitazamwa na watu milioni 1 kwa siku mbili.

Tetema ya Rayvanny amevynja rekodi hiyo katika nyimbo zake zote alizowahi kutoa hawahi kufikisha views hao na sasa anakuwa katika ya wasanii ambao nyimbo zao zimetazamwa sana kwa masaa machache baada ya kuachia wimbo au video.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW