Burudani ya Michezo Live

Rayvanny aweka wazi kuachana na mama mtoto wake Fahym ” Kuna vitu lazima mwanaume umkataze mwanamke wako asivifanye” – Video

Rayvanny aweka wazi kuachana na mama mtoto wake Fahym " Kuna vitu lazima mwanaume umkataze mwanamke wako asivifanye" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Rayvanny amefafanua kuhusu taarifa zinazoenea kuhusu kuachana na mama mtoto wake Fahym na kueleza kuwa kama vitu vinavyoonekana ndivyo vilivyo.

lakini Rayvanny aliongeza kuna vitu alimkataza mwanamke wake asivifanye” Kuna vitu lazima mwanaume umkataze mwanamke wako asivifanye”

 

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW