Habari

RC Ayoub wa Zanzibar afuata nyayo za Makonda, apiga marufuku disko na shisha (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar, Ayoub Mahmoud ameeleza sababu ya kupiga marufuku baadhi ya vitu ambavyo vilikuwa vikiuchafua Mkoa wake ikiwemo shisha na disko siku za kazi ambapo imesababisha wanafunzi kutofanya vizuri katika masomo yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents