Aisee DSTV!

RC Christina Mndeme aitaka Osha kuhakikisha inafika vijijini ”Naomba muwafikie wakulima vijijini” (+Video)

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameitaka Mamlaka ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi (Osha) kuhakikisha wanawafikia na wakulima vijini kuwapatia elimu kwakuwa ni sehemu ya kazi.

RC Mndeme ameyasema hayo ikiwa tunaelekea siku ya nane nane na hivyo kuna haja kwa mamlaka hiyo kuongeza juhudi zao katika kuwapatia elimu ya usalama na afya ya kazi zao za kilimo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW