RC Dar: Wananchi msiwe na wasiwasi fanyeni kazi ila fuateni sheria, tunajiheshimu najua mnajiheshimu (+Video)

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Aboubakar Kunenge amewausia wakazi wa jiji la Dar Es Salaam uhakika wa usalama katika mkoa wake kwa kipindi chote cha uchaguzi unaotarajiwa kuanza nchini kote hasa kwenye mkoa wake.

Akiongea na waandishi wa habari wakati akikabidhi mkono wa Eid kwa wakazi wa Dar ikiwa ni sikukuu ya kuchinja ameongeza kuwa,

Kila mtu anatakiwa kufuata sheria na kuheshimu taratibu za nchi, kwa nchi yetu ni salama na mkoa wetu ni salama hivyo nawataka wananchi muendelee kufanya kazi bila wasiwasi ila muhakikishe mnafuata sheria na taratibu za nchi”

“Naamini tutajotahidi kadri tuwezavyo tuwawekee mazingira mazuri ya kufanya kazi, sisi ni wastaarabu naamini na ninyi ni wastaarabu na tutaendelea kuwa wastaarabu “

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW