Habari

RC Makonda aagiza wakamatwe viongozi wa mpira wa kikapu Dar kisa? (Video)

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amepokea taarifa kwamba msaada ambao aliutoa mwaka 2017 kwa viongozi wa Chama Cha Mpira wa Kikapu mkoani humo haujafika sehemu husika. Mkuu huyo alitoa jenereta pamoja mabati kwaajili ya uwanja wa mpira wa kikabu Indoor.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents