Habari

RC Makonda afunguka ‘Rais hajamtuma mkuu wa mkoa wala mkuu wa wilaya kuyatumia madaraka vibaya’ (+Video)

RC Makonda afunguka 'Rais hajamtuma mkuu wa mkoa wala mkuu wa wilaya kuyatumia madaraka vibaya' (+Video)

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda amefunguka baada ya kupata nsi ya kuongea katika kongamano la kuhusu hali ya uchumi na siasa nchini tanzania, lililofanyika katika chuo kikuu cha Dar Es Salaam kuwa “Rais hajamtuma mkuu wa mkoa wala mkuu wa wilaya kuyatumia madaraka vibaya.”

“Kwahiyo kwa baadhi ya matukio yaoendela kutokea hapa nchini serikali yetu ya awamu ya tano haijaelekeza hivyo”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents