Habari

RC Makonda akutana na madudu haya ofisini kwake (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Paul Makonda amedai watumishi wengi wa chini ni mizingo ndio maana serikali inaonekana haifanyi kazi. Mkuu huyo aliyasema hayo Ijumaa hii wakati akipokea makontena ya samani za ofisi za walimu jijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents