Burudani ya Michezo Live

RC Makonda asimulia Uchebe alivyojisaliisha kwake baada ya kumpiga Shilole (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam @baba_keagan amesema siku ya jana baada ya Shilole kuachia picha zinazomuonesha Shilole amepigwa , Uchebe alienda nyumbani kwake.

RC amesema tayari wameshakaa vikao zaidi ya vitatu vya kusuluisha ugomvi wa Uchebe kumpiga mke wake lakini mwanaume huyo amekuwa akiendelea kufanya hivyo.

Amesema tayari vyombo vya ulinzi na usalama vimeshachukua mkondo wake kuhusiana na tukio hilo.

RC Makonda amesema hayo muda mchache baada ya kufanya mazungumzo na Mkuu mpya wa Wilaya ya TEMEKE, Godwin Gondwe.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW