Burudani

RC Makonda atoa maneno mazito kwa Zari

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, ambaye pia ni mlezi wa WCB, Paul Makonda amesema kuwa thamani ya mpenzi wa DiamondPlatnumz, Zarina Hassan kwake ni bado ni kubwa sana.

Hata hivyo leo Diamond amezungumza kuwa mtoto wa Mwanamitindo, Hamisa Mobetto ni wake na kukiri wazi. Na Mkuu wa mkoa huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya interview hiyo kuisha ameandika ujumbe huo.

Thamani yako kwangu bado ni kubwa sana , kwani uwezo wako wa kupita kwenye dhoruba na ukabaki imara na familia yako unaendelea kukupa heshima. ameandika Makonda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents