AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

RC Makonda atoa tamko kwa wamiliki wa Mahoteli katika mkoa wa Dar Es Salaam kufuatia tukio la kutekwa Mo Dewij (+Video)

Awajia juu wamiliki wa mahoteli yote jijini Dar Es Salaam

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda ametoa tamko linalohusu wamiliki wa Mahoteli katika jiji la Dar Es Salaam kufuatia tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara mkubwa dunia Mo Dewij. Makonda ameongea hayo na waandishi wa habari akiwa eneo la tukio katika hoteli ya colosseum iliyopo Masaki jijini Dar es salaam ambako ndio alikuwa anaelekea kwa ajili ya mazoezi alfajiri kabla ya kukumbwa na tukio hilo.

“Wenye mahoteli wote kwasababu kama tunapata wageni na wageni wanafanya matukio yote haya maana yake hoteli zetu zinzwekwa sehemu ambako watu wanatumia,kwahiyo mahoteli yote tutapita kukagua taarifa za miezi mitatu nyuma kujua kuwa wageni wenu waliokuwa wanakuja wanafanya shughuli gani”

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW