Michezo

RC Makonda atua Misri ”Nataka kwanza kuiyona timu yangu, mpenzi wa mpira hawezi kukata tamaa kwa mechi moja” (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa Uhamasishaji wa timu ya Tanzania, Taifa Stars amefika tayari jijini Cairo nchini Misri kwaajili ya kuwatia nguvu wachezaji kabla ya kuwavaa Harambee Stars ya Kenya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents