Burudani ya Michezo Live

RC Makonda: Hebu weka sanduku nyumbani kwako upigiwe kura na familia uone kama unafaa kuendelea kuwa Baba

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema wakati tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, na kelele zinazoendelea kwenye aina ya viongozi wanaohitajika, watu wanatakiwa kuanza kujipima kuangalia aina ya viongozi wanaowahitaji kupitia familia zao kwa kupiga kura za kifamilia, kama baba au Mama anafaa kuendelea kuwa kiongozi wa familia yake.

Amesema hayo mapema asubuhi hii Karimjee akizindua mfumo wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika mkoa wa Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW