Michezo

Real Madrid yaridhika United kumsajili James Rodriguez

Klabu ya Real Madrid imeipa nafasi Manchester United kumsajili James Rodriguez kwa paundi milioni 60.

hi-res-cd0e756396687f9c507004c2ca276dde_crop_north

Kiwango cha Rodriguez (25) kimeonekana kushuka tangu alipohamia kwenye timu hiyo mwaka 2014 baada ya fainali za kombe la dunia akitokea timi ya Monaco kwa ada ya Uero milioni 80. Uongozi wa Manchester United bado haujatoa jibu kamili bado wanataka kuhakikisha wanafanya usajili usiowaingiza kwenye hasara kama ilivyowatokea mwanzo kwa Di Maria.

Mpaka sasa James Rodriguez ameshaichezea Madrid mechi 55 na kafanikiwa kufunga magoli 20.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents