Habari

Red Ribbon show kufanyika Dec 23

khadija

Tanzania Mitindo House imeaanda onyesho la mavazi linalojulikana kama ‘Red Ribbon’ ikiwa ni kwa dhumuni la kuchangia  kituo cha watoto yatima walioathirika kwa ugonjwa wa Ukimwi kilichopo chini ya Mitindo House.

 

Khadija Mwanamboka, mwenyekiti wa  Tanzania Mitindo House aliongea na Bongo 5 kwa njia ya simu na kusema kuwa harambee hiyo itafanyika Desemba 23 mwaka huu katika hoteli ya Double Tree Hotel.

Mwanamboka aliongezea kwa kusema kuwa onyesho hilo la mavazi la Red Ribbon litaelekeza kuchangia gari kwa ajili ya kituo hicho cha watoto yatima, huku show hiyo ikisindikizwa burudani nyinginezo.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents