Habari

Redd’s Miss Mwanza 2013/14 apatikana, ni Lucy Charles (Picha)

Usiku wa Ijumaa (June 14) shindano la kumtamfuta mrembo wa jiji la Mwanza katika Redd’s Miss Mwanza 2013 lilifanyika jijini Mwanza, na mrembo Lucy Charles mwanachuo wa Chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT) ndiye aliyevikwa taji hilo.

Redds Miss Mwanza 2013 Lucy Charles katikati, Kushoto ni Judith mshindi wa pili na kulia ni Suzan Ikombe mshindi wa tatu
Lucy Charles katikati, kushoto ni mshindi wa pili Judith na kulia ni Susan Ikombe mshindi wa tatu

Washindi hao watawakilisha mkoa wa mwanza katika shindano la kanda mwishoni mwa mwezi huu.

Upande wa Burudani bibie Snura wa ‘Majanga’, Chegge na YP ni baadhi ya wasanii waliotoa burudani katika kinyang’anyiro hicho kilichokuwa na jumla ya warembo 13 waliokuwa wakiwania taji hilo.

Warembo katika vazi la Ufukweni

Lucy Charles- vazi la Ufukweni
Lucy Charles vazi la ufukweni

Victoria Newton- vazi la Ubunifu
Victoria Newtone vazi la ufukweni

Suzan Ikombe- Vazi la ubunifu
Suzan Ikombe Vazi la ubunifu

Angel Lawrence- vazi la Usiku
Angel-Lawrence-vazi-la-Usiku

Hajra Mohammed- Vazi la Ubunifu
Hajra-Mohammed-Vazi-la-Ubunifu

Edna Selestine- Vazi la Usiku
Edna-Selestine-Vazi-la-Usiku

Top 5 miss Mwz katika mataji tofauti

Lucy Charles na Pendo Simon

Chegge na YP wakipagawisha mashabiki
Chegge-na-YP-wakipagawisha-mashabiki

Snura- akipagawisha mashabiki wake
Snura-akipagawisha-mashabiki-wake

Mashidonge- akicheza na Moto
Mashidonge-akicheza-na-Moto

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents