DStv Inogilee!

Rehema Tajiri ajiunga na Mkubwa na Wanawe

Rehema_Tajiri_face

Mwanamuziki wa muda mrefu ambaye alikuwa kimya kutokana na masuala ya kielimu Rehema Tajiri anatarajia kuibuka upya kwenye game la muziki, baada ya ya kujiunga na kundi la Mkubwa na Wanawe linaoongozwa na Saidi Fella.


Mwanamuziki huyo anasema kwamba muziki sio kwamba ulimshinda ila yeye alikuwa bize kutokana na kutofuta elimu, ambayo ilimfanya aende Zanzibar na baadaye kuja Tanga. Mwanamuziki Rehema Tajiri aliwahi kuvuma na wimbo wa Sumu ya Mapenzi, akiwa na TX Moshi Wliiam wa msondo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW