Burudani

Remy Ma afunguka mafanikio ya Shether aliyomdiss Nicki Minaj

Rapper Remy Ma amefuguka kuhusu mafanikio ya ngoma yake ‘Shether’ aliyoiachia mwaka jana ambayo amemchana Nicki Minaj.

Akiongea katika mahojiano na kipindi cha The Breakfast Club, Remy amesema ngoma hiyo ilipata mafanikio makubwa ikiwemo kusikilizwa mara milioni 3-4 ndani ya masaa 12.

“There were forces at work, trying their damnedest, to try to get it ripped down from everywhere. On SoundCloud, it probably had 3-5 million in the first 12 hours. Whoever was over there, had it taken off for hours like that but it was never put out to be charting. It was never put out to make money. That wasn’t the purpose,” amesema mrembo huyo.

Tazama mahojiano yao hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents