Michezo

Ribery aifungulia kesi CNN, adai fidia ya shilingi bilioni 3.2

Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya FC Bayern Munich, Frank Ribery amekishtaki kituo cha televisheni cha Marekani, CNN akikidai fidia ya dola milioni 1.5 sawa na shilingi bilioni 3.2 za Kitanzania.

riber

Ribery amekifungulia kesi kituo hicho cha TV kwa kutumia picha ya mwanasoka huyo katika kuelezea story juu ya matibabu ya cryotherapy – matibabu yanayohusisha kuuweka mwili kwenye sehemu kavu au yenye baridi kali ili kupunguza maumivu au kuponyesha kabisa.

riber11

Mwanasheria wake, Carlo Alberto Busa, alisema mchezaji huyo hakutoa ruhusa ya matumizi ya picha hiyo kwa CNN.

“Mr Franck Ribéry and his family instructed me to go to French court to seek damages of at least $1.5m,” aliongeza Busa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents