Uncategorized

RICH KUZINDUA FILAMU YAKE MERERANI


Mcheza filamu za bongo, Single Mtambalike maarufu kama Rich amesema kuwa, ameamua kwenda kufanya uzinduzi wake Mererani kwa kuwa ana mashabiki wengi sana huko, na ndio maana ameamua kwenda kuwapa burudani. Mashabiki hao ndio watakuwa wa kwanza kuiona filamu hiyo inayoenda kwa jina la Chaguo Langu, ndani yake wamo mastaa kibao akiwemo Jackline Wolper..
Katika uzinduzi huo,Rich atasindikizwa na wanafilamu wenzake pamoja na wana komedi,wakiwemo JB,Irene Uwoya,Shilole,Masanja na Steve Nyerere.
Akiendelea Rich ameeleza patakuwa na burudani kutoka kwa Shilole akiwa ameambatana na Madensa wake wa Kanga moja ambamoo watatoa burudani siku hiyo ya Jumamosi june 16.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents