Burudani

Rich Mavoko aanza maisha mpya nje ya WCB, achia wimbo ‘Ndegele’ chini label yake Billionea kid

Msanii wa muziki Rich Mavoko ameanza upya maisha yake ya muziki nje ya WCB ambapo Ijumaa hii kupitia label ya Billionea kid ameachia wimbo wake wa kwanza uitwao ‘Ndegele’.

Muimbaji huyo ameingia kwenye mgogogoro mzito wa kimkataba na label ya WCB hali ambayo imesababisha kufikishana Baraza la Sanaa Taifa BASATA kwaajili ya kuangalia maslahi ya muimbaji huyo.

Baraza hilo limedai kwa sasa linafanya mpango wa kuwakutanisha WCB pamoja na Rich Mavoko ili waangalie namna gani wanawekwa sawa na kumaliza tofauti zao.

Related Articles

13 Comments

  1. Hajaferi Wimbo Mzuri Tena Sana, Wimbo Ukitoka Siku Ya Kwanza Utauona Mbaya Ukiuzoea Baada Ya Kuusikia Mara Kwa Mara Utauona Mzuri, Mvumo Wa Radi Watu Walisema Mbaya Matokeo Yake Hadi Sasa Bado Unavuma Kama Radi.

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents