Rich Mavoko atolea ufafanuzi sakata lake la kudaiwa WCB baada ya kuondoka (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @richmavoko ametolea ufafanuzi kuhusu tetesi zilizokuwa zinasikika kuwa bado anadaiwa na lebo ya WCB ambayo ilikuwa ikisimamia kazi zake za muziki.

Akiongea na Clouds Fm Mavoko ameeleza yeye hakuwahi kuliongelea jambo hilo ila taarifa zilikuwa zinasikika kwenye mitandao ya kijamii. Ameongeza kuwa Mama yake huwa anapambana sana linapokuja suala la muziki wake, msikilize Mavoko.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW