Aisee DSTV!

Rich Mavoko awashukuru BASATA kwa kupokea malalamiko yake na WCB ‘hata iweje nyie ndio walezi wa sanaa yetu’

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko amejitokeza kwa mara ya kwanza kuelezea sakata la kukutana na BASATA kuwasilisha mkataba wake aliosaini na WCB aliodai kuwa unamkandamiza.

Rich Mavoko

Mavoko kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa anashukuru kukutana na BASATA na kupata elimu ya kutosha huku akiwamwagia sifa kuwa hao ndio maana halisi ya walezi wa sanaa yetu nchini Tanzania.

Leo Alhamisi Agosti 9, 2018 Rich Mavoko amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza ambapo amepeleka mkataba wake na WCB akidai uangaliwe upya kwani umekuwa ni wa unyonyaji.

Related Articles

82 Comments

  1. Mbwaa wewe ondoka tu atukutaki Tena ume ondoka wcb basi ndo mwisho WA muziki wako Uta enda kuzurura mtaani kama q boy Yan rich Mavoko siku pendi Tena kwanzia Leo Tena nafuta nyimbo zako zote 😎😎😎

  2. nyie ukwel utaak palepale mavoko ni fund kwelikwel na ameondoka kweny tm ya mashoga wavaa vikuku mafrimason higen mema c kilakit mnashoboka t mtu unatembelea nyota za kuzim et dia anajua kuimba mnaufaham mzik nyie au mnashoboka na manyimbo ya ovyo

  3. Ndo mana nakwambia hakun fasi nyingin bongo ya mziki kinyum na wcb fasi zote nimesh wezeshw kufik wcb inakubakulik hata uku kwetu akitajw diamond hata mtoto mchang anamufahamu harmonize rayvanny lava lava mbosso hata uyo keng mavok alikuw amesh anz pata jina Kish jichafulia nyota atakula jeuli lake wcb for life mukubali mukatay diamond amesh watawala kimziki

  4. Willyum Dismas nini maana ya Freemason? Jimbuko lake lipo wapi? Unajua misikiti mingapi imejengwa na WcB na hao viongozi wa Dini wanao tumia na wao ni Freemason? Kuna timu za mpira nyingi zina alama ya za ajabu ambazo nazo zina aminika ni za Freemason je wachezaji mashabiki wake ni Freemason? Bado hujui Freemason Nenda kasome vizuri afu utahukumu kabla hujahukumiwa

  5. nilimsoma wakasema mkataba eake niwakinyonyaji lkn swali langu nije rich mwavoko kweli amenyonywa sababu wakat anaingia mkataba walikubaliana na aliusoma iweje aseme niwakinyonyaji ikiwa aliusoma na akautia saini ila ndio tabia yetu wabongo kuwa tunapenda sana kuonekana fulan kanionea mbona harmonize ray vany lava lava wanaendesha mandinga wote wanapiga show yy tatizo nn so biashara kwake ngumu ila mwache aende najua anataka fiesta ataipata ila cdhani kama atarudi kwapik

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW