Burudani

Rich Mavoko, Nay Wa Mitego na Chege kuzindua video zao kwa pamoja weekend hii

Nay Wa Mitego, Rich Mavoko pamoja na Chege wanatarajia kuzindua video zao kwa pamoja jumapili hii (Jan 12) katika ukumbi wa Billicanas. Video hizo ni ‘Nakula Ujana’ ya Nay, ‘Chapa Nyingine’ ya Chege pamoja na ‘Roho Yangu’ ya Rich Mavoko ambayo bado haijaanza kuoneshwa kwenye vituo vya TV.

IMG-20140108-WA0024

Wasanii watakaosindikiza uzinduzi huo ni pamoja na Shilole, Amini, Recho na Linex.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents