Burudani

Rihanna ajiingiza kwenye biashara nyingine mpya

Rihanna anaendelea kutafuta hela popote ilipo. Baada ya kuingia katika biashara ya mavazi na mitindo, msanii huyo ametinga katika vipodozi.

Muimbaji huyo anatarajia kuingia katika biashara ya uuzaji wa vipodozi ambavyo vimepewa jina la “Fenty Beauty” na vuimekuwa vikisubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wake.

Vipodozi hivyo vinatarajiwa kuachiwa vikiwa chinni ya brand ya LVMH’s Kendo. Msanii huyo kupitia mtandao wa Twitter ameandika, “@fentybeauty new generation of beauty… coming this FALL! I can’t fuckin wait for fall !!!.”

Mapema mwaka huu LVMH walitangaza kuingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na Rihanna wa kiasi cha dola milioni 10.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents