Michezo

Rihanna apanga kuinunua klabu ya Liverpool

Hivi karibuni kulikuwa na ripoti kuwa muimbaji wa ‘Diamond’ Rihanna ana mpango wa kununua klabu ya soka ya nchini Uingereza lakini haikufahamika ni ipi.

rihanna-that-grape-juice2

Na Jumanne hii gazeti la El Mundo Deportivo limethibitisha kuwa klabu hiyo ambayo Riri anataka kuinunua si nyingine bali ni Liverpool! Hiyo ni baada ya muimbaji huyo kupewa ushauri na mshambuliaji wa Chelsea, Didier Drogba wa klabu ipi anaweza kuinunua.

Liverpool inamilikiwa na kampuni ya Marekani, Fenway Sports Group.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents