Burudani

Rihanna Kukosewa Tatoo!

Wadau mblimbali wa lugha ya Kifaransa mapema wiki hii wamedhibitisha kukosewa kwa tatoo ya mwanadada mahiri wa muziki aliye chini ya label maarufu ya Def Jam, Rihanna.

Inasemekana kwamba, tatoo mpya kabisa ya Rihanna yenye dhumuni la kumaanisha ‘Rebel Flower’ kwa kiingereza au ‘ua la muasi’ kwa kiswahili linatakiwa kwa kifaransa kuandikwa kama ‘Fleur Rebelle’ na sio Rebelle Fleur kama ambavyo Rihanna amechorwa shingoni.

Sijui atarekebishaje??!!!

Wadau wa kuchora na kuchorwa tatoos tuweni macho na makini!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents